Nachukua fursa hii kutoa shukrani kwa wazazi wa Mvita waliofika leo katika maeneo mbalimbali kuhakikisha kwamba wana wetu wanapata fursa ya kuendelea na masomo.Kupitia NG-CDF,tumeweza kupanga mikakati ya wanafunzi wa shule za upili kujiendeleza na kudumu kwenye jitihada za elimu.
Nachukua fursa hii kuwaomba wazazi wote wa Mvita mfike Jumanne ijayo, tarehe 23 Januari kuanzia saa mbili asubuhi ili tuweze kupanga mikakati ya watoto wetu wanaosoma shule za upili.
#ElimuNaMachele#HudumaNaMaendeleo
Set a reminder for our upcoming Space!
We will take a strong focus on Regenerative Finance projects during this space, we want to hear from you!
https://t.co/bSvrTL5pBl
#refi#regenerativefinance#blockchainforgood