@Tanfootball@TaifaStars_ Huyu karia ni mpuuzi mmoja ambae hajitambui lolote zaidi ya dharau na kujawa kauli mbovu za usomali wake, hamna mafanikio yoyote aliyofanya nchi hii zaidi ya kula pesa za FIFA.
Huyu ndio rais mbovu kuwahi kutokea TFF.
Kwanza kabla ya kusoma hapa ni lazima uwe na akili, halafu usikaze fuvu, nakuandikia kwa flow flani nzuri sana ambayo haitokuchosha kusoma kama kawaida yangu.
Tuanzie wapi? Kwanza kwa Mashariki ya kati ambapo Israel anasema kuwa kote huko kwake, yaani amenyakua maeneo ya watu na kujikabidhi kinguvu na hakuna anayesema lolote lile.
Kwa nini dunia ipo kimya?
Jibu ni jepesi tu kwamba hiyo dunia nzima inaendeshwa na wao.
Yaani mabilionea wengi ni Waisrael, wataalamu wengi wa dunia ni wao, wanasayansi, makomando wenye ujuzi vitani, watengeneza silaha, sijui nini na nini, wote ni wao.
Kwa nini wamekuwa hivi?
Ni kwa sababu walipata muda mrefu wa kusoma. Ndiyo! Washikaji wamesoma sana na ndiyo maana huwezi kusikia Muisrael masikini.
Ama ushawahi kusikia? Unawaona hawa majamaa ni matajiri wa kutupwa, wana elimu kubwa mno, wanaijua pesa, wanajua namna ya kuiendesha na kufanya kuingiza pesa nyingi.
Syrians are still both shocked & mesmerized by the events of this month
How can a 54 year-old rule have such an abrupt closing chapter?
This account was created to help shed light on the key events that led to Dec 8 & the departure of Assad
Key insiders have come forward to help piece together what happened
Thread
JINSI YA KUSALI ROZARI
Kwa hakika, Rozari ni sala ya Kikatoliki maarufu na yenye nguvu inayozingatia mafumbo ya maisha ya Yesu Kristo na Bikira Maria. Huu hapa ni mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kusali Rozari:
1. Anza kwa kufanya Ishara ya Msalaba, ukisema, "Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina.
2. Soma Kanuni ya Imani ya Mitume ambayo ni muhtasari wa imani ya Kikristo.
3. Sali Baba Yetu (Sala ya Bwana).
4. Sali Salamu Maria tatu: Ukiwa umeshikilia shanga (punje) za Rozari, sali Salamu Mariamu tatu. Sala hii (Sakamu Maria) hurudiwa kwa kila muongo wa Rozari (Muongo mmoja wa Rozari unakamilishwa kwa Salamu Maria 10).
5. Tafakari juu ya fumbo la kwanza: Kila muongo wa Rozari unahusishwa na fumbo linalohusiana na maisha ya Yesu au Mama Bikira Maria. Anza na fumbo la kwanza. Tafakari juu ya fumbo hilo na kisha usali Baba Yetu.
6. Sali Salamu Maria 10: Ukiwa umeshika Rozari, sali Salamu Maria mara kumi, yaani Salamu Maria moja kwa kila shanga (punje). Unaposali kila Salamu Maria, zingatia fumbo ulilolitaja mwanzoni na utafakari umuhimu wake unapoendelea kusali.
7. Sali Atukuzwe Baba: Baada ya Salamu Maria kumi, sali Sala ya Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu....
8. Tangaza/Taja fumbo la pili: Endelea na utaratibu kama wa hapo juu hadi kwenye fumbo lifuatalo na urudie hatua ya 5 hadi hatua ya 7.
9. Endelea na mafumbo yaliyosalia: Rudia hatua ya 5 hadi 8 kwa mafumbo yaliyosalia, ukitangaza kila moja kabla ya kuanza muongo/kumi lingine.
10. Malizia na Salamu Malkia: Baada ya kukamilisha miongo yote mitano, maliza Rozari kwa sala ya Salamu Malkia (Salve Regina).
11. Fanya Ishara ya Msalaba: Maliza Rozari kwa kufanya Ishara ya Msalaba na kusema, "Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina."
NB:
•Rozari inaweza kusaliwa kibinafsi au katika kikundi. Rozari ina maombi rahisi ambayo yanaweza kubadilishwa ili kuendana na mahitaji na nia yako unayotaka kusali.
•Kumbuka, kipengele muhimu zaidi ni tafakari ya kina juu ya mafumbo ya maisha ya Kristo na ya Bikira Maria.
•Ikiwa wewe ni mgeni katika kusali Rozari, unaweza kupata ifaafu kufuata pamoja na mwongozo au kusikiliza rekodi zinazokuongoza katika kila hatua. Mazoezi yatakusaidia kuifahamu zaidi sala hii na kukuza muunganiko wako wa kibinafsi na Kristo kupitia Mama Bikira Maria kwa njia ya Rozari Takatifu.
•Yeye mwenyewe alisema hatatuacha sisi yatima bali atakuwa nasi ili mioyo yetu ijae furaha:
•"Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama mwanao." (Yoh 19:26)
•"Kisha akamwambia yule mwanafunzi, Tazama mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua nyumbani kwake." (Yoh 19:27)
•Ndiposa akatupatia nasi pia Mama yake mpenzi awe mama yatu pia na kishapo akatutumia Roho Mtakatifu Mfariji ambaye wanafunzi walimngoja wakiwa chumba cha juu pamoja na Mama Maria: "Hawa wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmoja katika kusali, pamoja nao wanawake, na Mariamu mama yake Yesu, na ndugu zake." (Mdo 1:14)
•Hatuwezi kumpenda Yesu ipasavyo kama hatumpendi Mama yake (Ambaye ni Mama yetu pia). Mkristo yeyote asiyemheshimu Mama Bikira Maria ni yatima wa kiroho na hawezi kumheshimu Yesu inavyotakiwa. Yohane kwakuwa alimpenda Yesu, alifuata agizo lake la kumfanya Mama wa Yesu awe mama yake na akaonyesha upendo huo kwa kumchukua Mama Maria nyumbani mwake.
•Nasi pia, tunapaswa kuonyesha upendo wetu kwa Yesu kwa kutii agizo lake na kupokea zawadi yake kwetu ambaye ni mama yake, na tunazidi kumpenda kwa kumheshimu na kuomba msaada wa maombezi yake.
"Mkinipenda, Mtazishika amri zangu" (Yoh 14:15)
Mungu akubariki!
Nimekumbushwa NILIVYOFILISIKA!
2016 nilikuwa nauza bundles za Airtel ila zilikuwa katika mfumo wa vocha za kukwangua. Nilikuwa naenda kwa wahindi Posta, na kununua kwa Jumla, Faida ilikuwa 6%.
Kipindi hicho Airtel wana Uni bundles za 600, 1000, 1500 na 6,000.
Huwezi amini
🧵
@IAMartin_@privaldinho Yanga haina tofauti sana na Kalynda linapokuja suala la mashindano ya kimataifa.
Huku ligi ya nyumbani tutawabutua sana lakini tukivuka hata Zanzibar hapo basi Nabi anaishiwa mbinu zote.