Copy Siri Hizi 3 za Milionea wa Nigeria Na Uongeze Mauzo Yako Hadi x10 Zaidi Mtandaoni—Guaranteed!
Je, ungependa kuongeza mauzo yako kupitia mtandao?
Fikiria kuwa na mfumo wa kuchapisha pesa…
…ukiwa umetulia tu, na hufanyi kazi ngumu!👇👇👇
Usichague yai kubwa kwa sababu linaonekana "bora".
Kwenye incubation, yai kubwa sana linaweza kuwa na yolk mbili, na yai dogo sana mara nyingi hutoa kifaranga dhaifu.
Kwenye ufugaji, maamuzi madogo ndiyo huleta matokeo makubwa.
#msukumafarm
Tabia yako inajengwa na Vitu unavyorudia rudia kufanya.
Kwa kadri unavyofanya mambo kila wakati—Unauambia ubongo hicho ni kitu serious na ndio utambulisho wangu
@AmosMerama97886@ayubu_madenge Mzungu hakuandika Biblia mkuu
Biblia ni neno la kufunua na kuelewa nguvu fulani.
Na
Kama hujaona uweza na nguvu iliyopo nyumba ya Neno la Mungu , Better uliza spewe experience
Binadamu ni vyombo tu vilivyotumika kuandika ufunuo kuhusu Muumba.
Mungu ni mmona tu Mkuu
@SSostenes14538@AmosMerama97886@ayubu_madenge Mungu ni zaidi ya vitabu.
Kazi ya vitabu ni kumfunua Muumba
By the way kama hauna nguvu ya Mungu wa Mbinguni. Basi una nguvu ya Ibilisi, Baba wa uongo.
Hakuna alieye katikati
@mangekimambi Ukisema ufunuo 13:11
Utaona Unabii wa taifa la marekani, hili taifa lipo kwa ajili ya kuandaa njia ya utawala wa dunia nzima...utawala wa new world order, utawala wa dini moja na kumpa nguvu utawala wa Rome ya kidini.
Hakuna taifa au dolla itakayopingana na Upapa itapona
Kulima Azolla
Unahitaji Maji, Container, Kivuli, Mbolea na Mbegu ya azolla.
Ni chakula kizuri kwa kuku, nguruwe, bata, samaki,mbuzi nk...
#Azolla#MsukumaFarm#kilimochaazolla