Tanzania Ndio Nchi Pekee Ambayo
Ukimtongoza Demu
1 - Anasikia Njaa Hapo Hapo
2 - Nywele Zake Zinafumuka
3 - Siku Yake Ya Kuzaliwa Inakaribia
4 - Simu Yake Inaharibika
5 - kodi Ya Nyumba Inaisha
6 - Mama Yake Anaumwa
Wadada Wa kitanzania Mnakwama Wapi Jamani