Miaka 13 iliyopita siku kama ya leo rapa #LilWayne aliacha album yake ya โTha Carter IVโ iliyokuwa na nyimbo kama โ6 Foot 7 Foot,โ โHow to Love,โ & more.
It debuted at #1 on the Billboard 200 selling 964,000 copies first week, is certified 5x platinum.
Star wa Muziki wa Bongo Fleva @harmonize_tz rasmi sasa ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "You Better Go."
#HiplusMedia#TheHomeOfSports&Entertainment
Kutoka BadNation Star wa Muziki wa Bongo Fleva @marioo_tz ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "2025" akiwa na msanii wake mpya @iamstans_tz
#HiplusMedia#TheHomeOfSports&Entertainment
Kwenye Interview aliyofanya kocha wa Real Madrid Baada ya Mechi Kocha Ancelotti amesema:
"Timu haina uwiano mzuri, hatuna wepesi wa kupeleka mpira mbele, tuna wakati mgumu pia kuurejesha tukiupoteza... inabidi tutafute suluhu ya haraka"
#HiplusMedia
Star wa Muziki wa Bongo Fleva @realjaymelody amefikisha streams (Wasikilizaji) milioni 300 kwenye mtandao wa @boomplaymusic akiwa na zaidi ya Nyimbo 40 kwenye akaunti yake, huku wimbo wake mkubwa zaidi ukiwa 'Nakupenda' wenye zaidi ya streams milioni 82.
Game On Dk 42
๐ท Man City 3-1 Ipswich ๐
๐ฅ 7' Man City 0-1 Ipswich Town
๐ฅ 12' Man City 1-1 Ipswich Town
๐ฅ 14' Man City 2-1 Ipswich Town
๐ฅ 16' Man City 3-1 Ipswich Town
#HiplusMedia#TheHomeOfSports&Entertainment
๐๏ธ KIKOSI BORA LIGI KUU
1. Matampi
2. Yao Yao
3. Zibwe Jr
4. Ibrahim Bacca
5. Job
6. Mudathir
7. Maxi Nzengeli
8. Feisal Salum
9. Wazir Jr
10. Aziz Ki
11. Kipre Jr
๐จOFFICIAL: Kikosi cha SIMBA SC kinachoanza dhidi ya JKT Tanzania
๐ฒ๐ฆ Lakred
๐น๐ฟ Kapombe
๐น๐ฟ Hussein
๐น๐ฟ Kennedy
๐จ๐ฒ Che Malone
๐ธ๐ณ Babacar
๐จ๏ฟฝ๏ฟฝ Ngoma
๐ฒ๐ฑ Kanoute
๐ง๐ฎ SAIDO
๐ฟ๐ฒ Chama
๐น๐ฟ Kibu D
#LigiKuu