Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelezea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kama kiongozi ambaye alimuamini pamoja na kuwa walitofautiana mwaka 2015.
Dkt. Nchimbi anaeleza kuwa aliamua kupumzika siasa na aliwahi kumueleza JPM kuwa hayupo tayari kufanya siasa hata alipotaka awe mbunge wa kuteuliwa alikataa.
Anaeleza kuwa baadae JPM alimpigia simu na kumuuliza kama hajachoka kupumzika akajibu kuwa anaendelea kupumzika ndipo kesho yake akashangaa kusikia ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil.
Anaeleza kuwa baada ya uteuzi huo JPM alimtumia meseji Dkt. Nchimbi akimuambia "haijalishi yaliyopita yamepita wewe bado ni kijana siwezi kuharibu future yako" amesoma meseji hiyo Dkt. Nchimbi.
The first webinar in our Responsible Gold Mining series is now live. We explore how the sector can move from principles to real world action across both artisanal and small-scale, and largeโscale mining.
โ ๏ธZijue Faida na Hasara za Kutumia Gas kwenye Gari Yako..
.
Miaka ya Nyuma Wataalamu wa DIT[Dar es salaam Institutes of technology] hapa TZ walituletea technology ya kutumia Gas kwenye magari kama mbadala wa Petrol/diesel..
.
Nimeona ni vyema ukapata ABCD kuhusu hili swala..
Picha za zamani ambazo zitakushtua na kukuvutia na kukuacha na maswali mengi mno!
1. Mwanamke wa Irani katika enzi kabla ya mapinduzi ya Kiislamu, mwaka 1960.
Fungua threads ๐งต๐
๐จ๐จBREAKING: Senegal took the AFCON trophy to their military base.
They are using their army to defend the trophy and indirectly telling CAF and Morocco to come and collect it if they can....Show more
Walio kutafuta ndio Familiar yako??......
Aya futa namba za ambao awakukutafuta, pia usisahau kufuta namba za sisi ambao wewe mwenyewe ulishindwa kututafuta ๐๐๐คฃ mbona ukututafuta????.
''Iwe nimekupigia simu iwe sijakupigia simu wewe bado utabaki kuwa familia yangu pia iwe hujanipigia simu wala kunijulia hali wewe bado utabaki kuwa familia yangu na kama unapima upendo kwa kupigiwa simu na mtu fulani ndio useme ni familia yako.
Muuaji aliyesamehewa, kisha akarudia kuteketeza familia nyingine
Mchana wa Julai mwaka 1991, kitongoji cha Michigan kilishtuka baada ya kupokea taarifa ya mauaji ya kutisha.
Gregory Green, kijana wa kawaida machoni pa watu, aliamua kugeuza nyumba yake kuwa kaburi la damu.
Mke wake, Tonya Green, ambaye alikuwa mjamzito wa miezi sita, alipoteza maisha kwa kuchomwa kisu mara kadhaa usoni na kifuani.
Hakukuwa na vita vya maneno virefu, hakukuwa na onyo. Ni hasira na giza lililomiliki moyo wa Green.
Baada ya kufanya mauaji hayo, Gregory alichukua simu, akapiga namba 911, na kwa sauti isiyoonesha majuto ya kweli, akasema, โNimemuua mke wangu.โ
Polisi walipofika, walimkuta akiwangoja, akiwa mtulivu kana kwamba alikuwa amemaliza kazi ya kawaida.
Mahakama ikamhukumu kifungo cha muda mrefu. Ndani ya magereza ya Michigan, Gregory akawa mfano wa "mfungwa mwema."
Hakuwa na fujo, alikuwa mnyenyekevu, akihudhuria ibada, akisoma vitabu. Mwaka ukapita, na miaka kumi na sita baadaye, taswira ya muuaji wa kikatili ikabadilishwa na ya "mtu aliyeokoka."
Rafiki zake, familia yake, na hata mchungaji wake, wote waliona kama Gregory amebadilika kweli. Waliandika barua nyingi mahakamani, wakiomba rehema.
Video inamuonesha mwanamuziki ๐๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐ข๐ญ๐จ ๐๐๐ค๐ข๐ง๐ฎ kutoka nchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo akiwa ameambatana na Christian Bella Obama
Sina mashaka kuna kitu kikubwa kinapikwa ili kutuachia utajiri wa burudani sisi wapenda muziki wa dansi
Kwa msiomjua Tshikito, kijana huyu ni zao la Ferre Gola le Padre, mfalme wa rhumba ya kizazi cha nne.
Kwenye remix ya wimbo maarufu wa Vita Imana, Ferre Gola alimfungulia milango ya mafanikio dogo huyu kwa kumwambia "๐๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐ข๐ญ๐จ ๐๐๐ฅ๐" yaani "Tshikito Lia" (kwa wakongomani inamaanisha mwimbaji amwage vocal ajimalize)
Tshikito alipopewa fursa hii hakutaka kuremba mwandiko wakati somo lenyewe ni imla ambapo mwalimu akimaliza kusoma anakusanya madaftari
Tshikito akakanyagia kuwa "๐ ๐๐ซ๐ซ๐ ๐ ๐จ๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐ ๐จ ๐ญ๐จ๐ค๐๐ง๐๐ ๐ฅ๐ข๐๐จ๐ฌ๐จ" (Ferre usijali maneno yao bali tusonge mbele)
Akamalizia "๐๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ฎ ๐๐๐ฅ๐จ๐๐ ๐๐จ๐ฒ๐, ๐ง๐ณ๐๐ญ๐ ๐๐ณ๐๐ง๐ ๐๐ค๐ข ๐ฆ๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ฆ๐๐๐ค๐ ๐ฆ๐๐๐๐ง๐ ๐ ๐ญ๐ ๐๐จ๐จ๐ก" (Mababu walishasema, mti usio na matunda huwa hautupiwi mawe)
Kwa sauti ya kwanza ya juu (tenor), mbwembwe za kupanda high pitch, kushuka low pitch, na mara chache kubakia flat, Tshikito aliimba maneno hayo yaliyofanya macho ya makachero wa muziki wa dansi duniani wakaanza kulitamka jina la Tshikito Makinu kwa lazima kama Ibada.