Maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya Habari ni leo🗣️
Hapa Mwandishi wa Habari wa kimataifa @Salym anatueleza namna ambayo ukuaji wa teknolojia umeleta mapinduzi katika sekta hii.
@AbroadTanzania Kiuandishi sio kosa kuchukua taarifa kutoka vyanzo vingine muhimu kutoa credit kwamba hii stori tumetoa @KingsFMRadio mbaya zaidi mpaka cover mmechukua ya kwetu ila mka crop logo😅