“Tumeitwa, Tumestahilishwa na Kutumwa” Wokovu wa Mwanadamu ni zawadi ya huruma na ya upendeleo ya Mungu mwenyewe, Mungu anayeona na kuguswa na mahangaiko na shida za watu wake.
@VeronicaPanta15 Ee Mungu, uliye nguvu yao wanaokutumaini, uwe radhi kusikiliza dua zetu. Na kwa kuwa pasipo wewe hatuwezi kitu sisi wanadamu dhaifu, utujalie daima msaada wa neema yako, tupate kukupendeza kwa moyo na matendo katika kutimiza amri zako.
USIOGOPE UNAPOANZA UPYA.
Watu wengi huogopa kuanza tena baada ya kushindwa, kupoteza, kuumizwa au kufanya makosa. Wanaona kama kuanza upya ni ishara ya udhaifu, Lakini ukweli ni kwamba kuanza upya ni moja ya dalili kubwa za ujasiri.
#ElimikaWikiendi
Sio kila anayekuita rafiki anafurahia mafanikio yako. Wakati mwingine maumivu makubwa hayatoki kwa adui, yanatoka kwa mtu uliyemwamini zaidi.
Je, umewahi kuumizwa na mtu uliyempenda au kumwamini?
#ElimikaWikiendi
@Cocolovemimi 2 Wakorintho 4:2
lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyositirika, wala hatuenendi kwa hila, wala kulichanganya neno la Mungu na uongo; bali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mbele za Mungu.