@MariaSTsehai Utadhani CCM wanatumia akili sana kumpoteza mtu. Kabudi kwa lipi? Majaji hawawezi kuelekezwa cha kufanya? Punguzeni mandilΓ³n. Simamia kitu kimoja. Mnamaliza karatasi kwa kujaza watu mavitu kama isidingo.
@HildaNewton21 Kama majuha vile. Mnajiandikia tu ili mradi kwa sababu kuna nguchiro wabakufuatilia. Sasa doubt na elimu ya Prof. Paramagamba unaitolea wapi we kicheche? Jifunzeni engo za kupiga. Bata wewe.
@MariaSTsehai Hivi nyie, ni wapi Makamu akawa na nguvu kuzidi mamlaka namba moja? Kuna vitu mnajipa nafuu ya mioyo mpaka mnaboa aiseee. Mnajaribu kuaminisha watu huyu Mkatoliki ni bora kuliko wenzake? Kwa akili yako Nchimbi anaweza kujiwekea ulinzi kuliko Amiri Jeshi Mkuu?
@mangekimambi Kuna mipango mnapanga mpaka nahisi nipo Sudan au Iraq? AFCON kuitumia kwa hizi mishe ni bure, hizi pipo za Bongo na soka? Mtapoteza muda.