@radiomaisha Toka K south naona ingekuwa viyema wakimruhusu awautubie wafwasi wake waende bila kudhuru Mali za watu ni kutafta lawama tu #LyndaNaShugaboy
@QwetuRadio@DorahManya Toka K south sina roho mbaya naweza maana naitaji ajiendeleze nae family Yake ijihisi kama watu but mwenye roho mbaya hawezi #QwetuKazini
@RadioCitizenFM Mahaka zingine wanafanya kesi kwa kupendelea sehemu mmoja tu hawaeleweki Kenya aliyeshindwa ndio hutunzwa aliyeshinda anaki kulia na lalama
@RadioCitizenFM Toka K south my brother dunia ni kama mti w matumda ukichuna tunda upate limeoza chuna lingine na ukubaliane hali halisi ilioko #ChapaKazi
@RadioCitizenFM Toka K south hakuna yeyote anaewapa ushauri au mafunzo ndio maana unaona wengi hawadumu kwenye ndoa zao mwisho wanavurugana kutojua #Mjadala