Manjeree ya Arachuga ni habari ingine arifu... Hii ngeli kuilewa lazima urudie mara kadhaa ndo ushike maana zake .
Kuna Bajaji convertible hapo mmeideree? Nimeipenda sana @BarakaMegiroo@Wilbright_jr Mkianza kuziona mikoa mingine mjue ni Chuga. I miss Chuga sana aah 😁😁 .
NGONO ZEMBE INAHARIBU BAHATI NA FUTURE YA WATU WENGI.
Ukitaka bahati yako na Mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze Uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndio mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni.
Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu
@rollymsouth Happy Father’s day baba watoto. We wouldn’t wish for a better Dad. Sisi tunakuombea baraka, neema na kibali mbele za Mungu na wanadamu ♥️🌹 Nakupenda.