BREAKINGS.
Dear X formly twitter users from Tanzania.
Sir Jeff Denis anahitaji msaada wetu wa maombi pamoja na kumpazia sauti yupo gerezani keko kwa kesi ya money laundering ( utakatishaji fedha)
Nahisi hiyo kesi atakuwa framed nayo coz mwana anadai anaonewa.
So Sad.๐๐
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 9
Anaendelea Mhe. Lissu
Kwenye ukurasa wa 61 wa hii niliyopewa leo kuna taarifa kwamba kunashauri yamefunguliwa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi na mkiangalia.
Pia font ya nyaraka niliyoletewa awali na font niliyoletewa leo. Ombi langu hatuwezi kuendelea leo naomba tuahirishe mnipe muda. Usiku wa leo utanitosha kesho turudi nije kuwaonyesha uchafu uliofanyika hapa.
Documents zimekuwa falsefied naomba tuahirishe turudi kesho ili nije kuendelea.
Kwa kifupi ni kwamba wahuni walitengeneza nyaraka mbili tofauti wakampelekea nyaraka tofauti.
Anasimama Katuga hapa, anaomba azungumzie hiyo criminality.
Jaji anasema ukitaka ku respond kwenye hilo utatuvuruga subiri basi akimaliza na wewe utapata muda wa kujibia huko mbele.
Lissu anasema Wakili atakuwa na hoja asitupotezee muda hapa.
Wananchi wanacheka. ๐๐๐
Majaji wanaandika hapo tusubiri maelekezo yao. Wameanza kuteta kidogo.
Jaji anasema tunaomba utunze maoni yako. Utapata muda wa kujibu maana hajamaliza na linaweza kuibuka lingine utapata muda wa kujibu uwe na utulivu tu Wakili.
Mheshimiwa Lissu amesema yeye usiku wa leo unamtosha ataenda kusoma kila kitu. Tukutane kesho asubuhi.
Tunawasubiri majaji sijui wanasema nini?
Maana ilitakiwa Mtuhumiwa apewe proceedings zote zimekamilika ametokea muhuni mmoja huko ameandika summary tena nyingine kwa mkono vi page kama 20 hivi halafu wakagonga mihuri ya mahakama.
Jaji anasema tukutane kesho saa nne asubuhi.
Mahakama imeahirishwa.
So kutane hapa kesho saa 4 asubuhi.
Naomba repost yako kwenye tweet hii.
@manda_go@Sativa255@martinAbdul14@geofrey_kiliba Upo sahihi mkuu, watu wakihitaji jambo lao linakamilika kama chuo Fulani wanasajiri wachezaji, kwa Muda ili washinde mashindano ya vyuo TUSA baada ya hapo wanapostpone tukutane mwakani kwenye mashindano mengine na hili sishangai