Hii project ya Arsenal ya "trust the process" am sure siku moja itazaa matunda.
Usajili unaeza wafanya wakawa improved sana msimu ujao 2022/2023 [@Doctormanjemba]
@Sincerelyrahma7 Kwa umri huo akitumia dawa inakua maumbile madogo yanasababishwa na kukosa stimulants za high tense kwenye ile sponge kwa hiyo naweza kukusaidia pia ukiwa na pesa
@GeorgeJob14 Footwork ina maana matumizi mazuri ya mguu kwa kusave kuposses na hata kushoot long pass kwa hiyo easy say Footwork ya modern goalkeeper wana maana awe na uwezo wakutumia miguu vzr kwenye kuanzisha mashambuliza na kufanya timu imiliki mpira kwenye own half zone