Clara Luvanga amesajiliwa marekani na amevunja rekodi ya usajili duniani kwa soka la wanawake ila kesho asubuhi vipindi vya michezo vitaamka na story za simba na Yanga๐คฃ๐
Washington Spirit confirm Clara Luvanga has joined from Al-Nassr on a four-year contract.
Understand the fee is a world-record womenโs transfer that is close to $2m.๐น๐ฟ
@Tweener003 Sio dar tu nadhan ni mikoa yote kwa sasa,boda imekua kimbilio kwa madogo wengi sana na hii nahis inatokana na watumiaji wa hiyo huduma kuwa wengi ndio maana kwa sasa bili 3M hupati pikpik mpya