Mwijaku kafuta POST ZOTE ZA CCM.
Wasanii, wachekeshaji wamejificha majumbani mwao wanaogopa kutoka.
Mlikuwa mnaona mpo SALAMA sana kufanya UCHAWA wa SAMIA? Ona leo hata mtaondaoni mnaogopa kupost vidole vyenu vya KUTIKI. Hiyo ndio nguvu ya UMMA. #MO29