๐จ EXCL: Manchester United are expected to accelerate the deal for Myles Lewis-Skelly from Arsenal for around โฌ40M. #MUFC pushing to advance talks, with #AFC open to selling the 19-year-old. ๐ด๐ @TheATHLETIFC/ @FOOTRAL
โ Nikiwa naleta zile makala za kijasusi, kuna watu huwa wananishukuru sana nikizitaja MOVIES zinazogusa mikasa husika.
โ Sasa leo nimeona niwalete orodha ya movies kali 20 ambazo zinahusu CIA tu. Huwezi kujuta kuzitazama.
โ Nitataja jina la movie, na mwaka.
โ Utakachonisaidia wewe ni kuREPOST ili usinufaike peke yako. Na wengine pia wapate vya kwenda kuangalia.
Twen'zetu...๐๐ฝ
๐๏ธ Diego Costa: โNikiwa Chelsea, nilijaribu kumbusu Kantรฉ kama mzaha. Ana aibu kweli. Nilikuwa uchi kwenye beseni la kuogea na kusema: 'Kantรฉ, nikumbatie!' na alikuwa anasema 'Hapana, hapana, Diego'.
Havui hata nguo ya ndani ili kuoga.
Kuna mengi sana asee nyuma ya pazia๐ฅ๐
Usiwe Bubu Unapokutana Na Mwanamke Kwenye Outing Zenu!
Uliza Haya Maswali 16 Ili Kuendelea Kumvutia..
Kumbuka lugha ya mwili na sauti isiwe kama Afande anahoji Jambazi..
UZI
NGOJA NIKUPE STORI KUHUSU HII MELI.....
Hii pichani ni Meli ambayo ili kupakia mzigo, Basi lazima izame kwenye maji Deck yote.
Meli aina hii zinaitwa Semi-submersible heavy-lift ships na hubeba mizigo mizito zaidi kupita hata hizi meli tunazoziona.
( THREAD)๐งต
Casemiro didn't think he was the right man to give Mainoo the MOTM award he had to give it to Bruno to do the honours, who then presented it to Mainoo with both hands ๐
You can tell how very highly they all rate Mainoo ๐ฅ