Watesi wa Mhe. @HecheJohn wanakibarua kigumu sana.๐๐๐
TUENDELEE KUCHANGIA.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. ๐
Watu wasiojulikana wamechoma moto Showroom ya MAGARI ya Abdul mtoto wa Samia usiku wa kuamkia leo mikocheni Dar es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema magari yote ya kifahari yaliyokuwa hapo yameteketea kwa Moto.