@SportsarenatzTz Kwa uelewa wangu, fedha za uendeshaji ni tofauti na zawadi, mfano mzuri Azam tv kila mwanzo wa msimu hutoa fedha za maandalizi na uendeshaji kwa kila timú inayoshiriki ligi kuu lkn bingwa bado hupewa zawad ya pesa taslimu. Hawa tff awamu hii watanyeà mdomo