@vigilantWireman@BarakaMaviatu@KennedyMmari Kuma wewe, exposure huna wewe, mnaishi kwa trend kwa mtu anayejua masuala ya demography anaelewa kuwa lazima kuwe na pushing factors mtu kuhama sehemu yake ya asili kwenda ngambo, na moja wapo ni kukosa comfort, mwanadamu asili yake anapenda utulivu, akikosa tu anahamaa
@Thisisgodd46751@JozenGamba Monaco ni nchi ya mabwanyenye wa ulimwengu kama unavosikia mbweni na masaki, mbweni ndio tuite Dubai na masaki tuite Monaco
@vigilantWireman@BarakaMaviatu@KennedyMmari Wewe Kuma nini unalazimisha kitu ambacho ni real, kwamba watannzania wana exposure ndogo kuliko watu wa congo kuliko watu wa west Africa ambao population yao almost 90 percent ni poverty, lakini wapo wengi ulaya huko
@BarakaMaviatu@vigilantWireman@KennedyMmari Usibishane nae, hiyo ni nature tu kama archmedes principle,sisi watanzania hatuna extra force kutupush out, kwa mfano njaa, fujo za kukosa usalama, ukosefu wa fursa, bado hatuna hizo sababu, sasa tutoke kwenda wapi
@Asha99538587@master_plan9 Sasa inakuaje watu watafute pesa zao kwa jasho halafu wakozipata uwawekee sheria eti walazimishwe kujenga miundombinu, kwanini hao wananchi nao wasichimbe kama rahisi
Qatar has held a World Cup where everyone who could afford to attend attended, wait till it's the USA hosting and they will have visa restrictions even on the players themselves 😂.
@pastor_joalyimo@swahilitimes Saana, kuna vyuo hivi IFM mipango, YIA, KUNA national audit, kuna BOT, kuna treasure, kuna kulipa mafao ya wastaafu, kuna kulipa deni la serikali, mambo mengi, ukarabati wa miundomninu na ununuzi wa miundombinu... mifumo Ya kidigitali
@BERNARDKOMBA@swahilitimes Matumizi ya kawaida ya Serikali unayafahamu, ni kama kulipa pension za wastaafu, kulipa mishahara z kulipa deni la Serikali au servicing national debt... peaa ya tahadhari au emergency, zote hizo zinafall katika matumizi ya kawaida
@MNIGAJIASULU@thomasjkibwana Marekani police ni metropolitan ni wagambo wa jiji, wako chini ya mayor, half kuna sheriff chini ya governor halafu kuna Fed's wako chini ya justice department then kuna homeland security au DHS hao ndio kama police wa huku kwetu , ila kwa UK ndio kuna IGP
@Roma_Mkatoliki Proposal nzuri tu na connection hasa hizi taasis za umoja wa ulaya wao unaandika andiko ila liwe na mantiki na liwe linafall Katika conditions zao watafanya assessment then unasubir mrejesho... hawalipi ila wanasponsor haarakat tofauti tofauti kama mazingira, hima rights and etc