Dinner date hupelekwi, movie hupelekwi, coffee date hupelekwi, maua ata ya 15k ya St. Peters pale mataa nayo huletewi😂💀mmmh throw the whole man away sis!!!!
Inabidi siku za sherehe…unaenda na your man kwenye fitting za suti kila siku na siku ya event unamkumbusha “hakikisha unavaa zile socks mpya tulinunua, na ile ile shati ya white!” Mara kumi kumi…Hakawii kuja na za mwaka juzi akasema , “kwani hizi zina shida gani, si ilimradi uvae socks tu nani anaangalia?!🤣😭
This has been my dream. It started when I was just a little boy during my glorious days spent in the countryside. I have been growing to see myself as a journalist. Here I am, but now learning to be an exemplary one with standards and an international taste.
Baada ya mazoezi yako viwango vya sukari kwenye damu vinaweza kushuka kwa sababu misuli yako hutumia glucose iliyopo kwenye ini na misuli kupata nishati.
Hivyo mwili wako unahitaji glucose asili na virutubisho vingine kutoka kwenye Asali
➡️kurekebisha misuli
➡️ukuaji wa seli
➡️kusawazisha sukari ya damu mwilini na
➡️kukupa nguvu tena ya kuendelea kufanya mazoezi ama kazi zingine.
↪️Tambua kwamba Kijiko kimoja cha #MisanHoney🍯 kinakupa wastani wa 17grams za wanga bora mwilini.
⬆️Faida hizi Utazipata endapo utanunua Asali tam na asili
kutoka @MisanBees,
#MisanHoney🍯 ndio chaguo lako sahihi kwa Afya bora kabla na baada ya mazoezi yako.
📍Dar es Salaam , Tanzania
📲https://t.co/92qQDvf5op