Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelezea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kama kiongozi ambaye alimuamini pamoja na kuwa walitofautiana mwaka 2015.
Dkt. Nchimbi anaeleza kuwa aliamua kupumzika siasa na aliwahi kumueleza JPM kuwa hayupo tayari kufanya siasa hata alipotaka awe mbunge wa kuteuliwa alikataa.
Anaeleza kuwa baadae JPM alimpigia simu na kumuuliza kama hajachoka kupumzika akajibu kuwa anaendelea kupumzika ndipo kesho yake akashangaa kusikia ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil.
Anaeleza kuwa baada ya uteuzi huo JPM alimtumia meseji Dkt. Nchimbi akimuambia "haijalishi yaliyopita yamepita wewe bado ni kijana siwezi kuharibu future yako" amesoma meseji hiyo Dkt. Nchimbi.
Mbunge wa Jimbo la Gairo (CCM) Ahmed Shabiby amesema mwaka 2030 atagombea Urais ili kukomesha baadhi ya mambi ikiwemo kukithiri kwa rushwa.
Akichangia bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara leo bungeni Shabiby amesema kuna baadhi ya miradi wanapewa raia wa kigeni kuiendesha haliyakuwa miradi hiyo wazawa wangeipata lakini kwa sababu ya rushwa wanapewa wageni.
"Hivi hii nchi ina rushwa ya aina gani, watu hawajitambui ila ngoja 2030 na mimi nitagombea tutaleta sheria ya kunyonga watu" Amesema Shabiby
Ameeleza kukerwa na sheria inayomruhusu mgeni kupewa kianzio cha kufanya uwekezaji au mradi lakini akichelewa kulipwa anaidai serikali.
Asante sana wakili msomi Mwabukusi
Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface
Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu ๐
#FreeTunduLissu NOW ๐๐ฝ๐ฅ
@Adventure_36 hamn kitu kama icho mi niliwahi kushik 15M na Banga zangu zilikuwa nikishi k mpunga mrefu basi ni Laki 8 ila sjawah pata wenge Wali Nini na mtu hawezi jua kama Nina 15M
Sikutilia maanani sana hizi video mwanzoni. Lakini nilianza kuziangalia kwa uzito zaidi pale nilipogundua kuwa maudhui ktk video hii yaliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa gazeti la Habari Leo, gazeti la serikali, na baadaye yakaondolewa. Na haya ni maneno ya Makamu wenu wa Rais.
Kinachonishangaza ni kwamba maudhui yaliyomo yanalenga kukemea ufisadi wa fedha za umma na viongozi kuacha kujinufaisha. Swali la msingi linaanzia hapa, kama maneno ya aina hii yanaweza kuonekana mabaya kiasi cha kuondolewa, basi wale wananchi wote wenye akili na mapenzi ya nchi wanapaswa kujiuliza kwa kina mwelekeo wa zaidi tunaokwenda.
Je, ni rahisi kwa mhariri kuamua kuondoa maudhui yanayomhusu kiongozi wenu wa juu namna hiyo bila maelekezo kutoka juu? Na huko juu ni wapi ? Kuna hadithi moja huko Italia , askari wa barabarani alisimamisha gari , alipokuwa anakagua, akagundua kuwa aliyekuwa anaendesha alikuwa PAPA , ghafla alianza kukimbia kwa speed kali huku akitokwa jasho !! Wenzake walimuona na kumfuata na kumuuliza , nini kimekupata ? Alijibu , nimesimamisha gari nikakuta PAPA anaendesha akiwa na abiria mmoja , akaendelea kusema , nafikiri huyo abiria lazima atakuwa YESU !! Tafakari.
Huyu ni Makamu wa Rais wa serikali yenu mliyopata kupitia uchaguzi uliokuwa na maumivu makubwa kwa taifa. Mnaondoa video kama hii ktk kurasa zenu, meseji kwa umma ni moja , Amkeni sasa na sio baadae, maana Cartels wako RADA.
Nina hofu kuhusu kesho ya Tanzania. Si kwa sababu hakuna watu wenye uwezo, bali kwa sababu ukimya unapokuwa kawaida, hata mambo yasiyostahili yanaendelea kuonekana ya kawaida. Hapo ndipo hatari kubwa.
CCM, mnapaswa kutafakari kwa kina. Historia ina tabia ya kurudia matokeo yake pale pale makosa yanapopuuzwa. Hii si wakati wa kiburi, bali ni wakati wa kurekebisha mwelekeo kwa ajili ya taifa. Kila maumivu mliyowapatia wa Tanzania , mtalipa na Nchi itaharibika sana. Maisha ya Nchi sio ushabiki wa michezo.
Rais wa Marekani Donald Trump: "TUMEMPATA!
Wamarekani wenzangu, katika saa kadhaa zilizopita, Jeshi la Marekani lilifanya mojawapo ya Operesheni za Utafutaji na Uokoaji zenye ujasiri zaidi katika Historia ya Marekani,
kwa mmoja wa Afisa wetu wa ajabu wa Kikosi, ambaye pia ni Kanali anayeheshimika sana, na ambaye ninafurahi kuwajulisha sasa yuko SALAMA na SAWA!
Shujaa huyu shujaa alikuwa nyuma ya safu za adui katika milima hatari ya Iran, akiwindwa na maadui zetu, ambao walikuwa wakikaribia zaidi na zaidi kila saa,
lakini hakuwa peke yake kwa sababu Kamanda Mkuu wake, Katibu wa Vita, Mwenyekiti wa Wakuu wa Pamoja wa Wafanyakazi, na Wapiganaji
wenzake wa Vita walikuwa wakifuatilia eneo lake saa 24 kwa siku, na kupanga kwa bidii uokoaji wake.
Kwa maelekezo yangu, Jeshi la Marekani lilituma ndege nyingi, zenye silaha hatari zaidi Duniani, kumpata.
Alipata majeraha, lakini atakuwa sawa tu. Operesheni hii ya ajabu ya Utafutaji na Uokoaji inakuja pamoja na uokoaji uliofanikiwa wa Rubani mwingine shujaa,
jana, ambao hatukuthibitisha, kwa sababu hatukutaka kuhatarisha operesheni yetu ya pili ya uokoaji.
Hii ni mara ya kwanza katika kumbukumbu ya kijeshi kwamba Marubani wawili wa Marekani wamekuwa Tuliokolewa, kando, ndani kabisa ya Eneo la Adui.
HATUTAMWACHA KAMWE mpiganaji wa Marekani! Ukweli kwamba sisi
@zittokabwe@realDonaldTrump ๐๐ Kula penshen Mzee ww ni mnafiki hufai kuigwa ogopa sana watu wa aina kama yako unaweza kumuuza Hata ndugu Yako ushapoteza credibility keep Quiet unatonesh vidonda
Kati ya mifugo yote mbuzi ni rahisi sana kufuga na ukapata faida.
Ukinunua mbuzi wachanga wa 1M na kuwalisha vizuri baada ya miezi 6 unapata 3M bila usumbufu.
90% ya chakula cha mbuzi ni nyasi na majani ambayo yanapatika bure.
Mbuzi haugui hovyo.
Soko la mbuzi ni kubwa.
Mikoani hapaishiwi na fursa.
Kwa 7M, unanunua shamba hekari 3 kwa sh 3M.
4M inayobaki unapanda nyasi za mifugo, unajenga mabanda ya mbuzi na fensi ya mabanzi.
Unanunua mbuzi kama 100.
Unaweka kijana ambaye unamlipa 100k kila mwezi.
Baada ya miaka mitatu pesa inakutafuta wewe
@ByCardoJason Unaingia kwenye app ya sportybet > unabonyeza menu > yanakuja maligi kibao unachagua EPL >kuna matches na outrights>
Utabofya outrights >utakuta pl 2025/2026 ukibofya unaletewa team utaselect hapo anaanza arsenal anafuata Man city.