Na misukule huko nyuma INAGONGA meza vibaya mno.
Kweli hii nchi "Aibu utaona wewe".
Huyu msenge nae ni WAZIRI eti.
Hajui lolote-kichwani mwake anawaza kula NYETO TUU.
@swahilitimes Mbona kirahisi sana sasa wanaoshindwa kumfikia waziri mkuu wanasaidiwaje!?kama kauli ya kiongozi ndio kauli ya haki na sio sheria hawa wasiomfikia itakuaje!?
Wanapoomba miaka 5 muwe mnawauliza jumla imekuwa miaka mingapi?mmefanya nini na kipi hamjafanya na kwanini? maana sera zao ni barabara,madaraja,shule,hospitali,amani,viwanja vya ndege,stendi kila wanapoomba miaka 5 na wanaongea utasema ni hela zao wanatusaidia huku ni kodi zetu.
Kuna wakati tunachukualia poa sana maisha,
Lakini kuna faida nyingi ukiacha kuishi kwa mazoea.
- Unakula nini?
- Marafiki zako?
- Unjifunza ujuzi gani?
- Mentor wako nani?
- Unatumiaje muda wako?
- Unawekeza wapi pesa zako?
- Una mpenzi wa aina gani?
- Imani yako iko wapi?
KUSUDI ni njia ya mafanikio.
#WEWENIMGODI