Nakumbuka mwaka 1992 baba na mama waligombana mama akaamua kurudi kwao, sio mbali na nyumbani watoto wote tuli opt kubaki na baba, mama akaondoka peke yake, kwenda kwao Babu akamfukuza mama mana ilikuwa usiku mama aliporudi akakuta tumeshakula mshua katupikia Dona akamwambia mama hatujakuhesabia, mshua alikuwa na utani akasema tumcheke mama tukamcheka,,,
Kesho yake baba akasafiri, tulikiona chamoto😂😂😂
@Psiteshio1 Jiji la Arusha lina watu 617,631(laki 6)
Jiji la Dar-es-Salaam lina watu 5,383,728(milioni 5.38)
Taarifa zinaonesha watu laki 1 huingia jiji la Dar kwa siku.
Arusha wanaingia watu elf 20 kwa siku.
Kufananisha hali ya maisha ya watu Dar na Arusha ni kulkosea heshma jji la Dar
🚨Update :🇮🇷
Maafisa wa utawala wa Kiislamu wa Iran wanatishia kuwaua watoto wa Iran ambao wanaonyesha upinzani mdogo.
Mwanachama wa Tume ya Usalama wa Kitaifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Ushauri la Kiislamu la Iran alisema kwamba hukumu za kifo zitatolewa kwa yeyote ambaye hatazitii. "Ikiwa watoto wako watazungumza kuunga mkono adui, amri ya kuwapiga risasi tayari imetolewa," alisema.
Aliongeza kuwa kijana yeyote ambaye hata anaunga mkono Marekani au Israeli kidogo anatendewa kama Netanyahu: "Tutawapiga risasi na kuwaua bila kusita. Hatutaki kuwaua vijana wenu, lakini lazima, kwa sababu hawajui."
Tundu Lisu once said “Baba wa taifa alikuwa binadamu hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado, tunaposema makosa yake tunathibitisha ubinadamu wake, na baba wa taifa mwenyewe angekuwa wa kwanza kukubali alikuwa binadamu na sio Mungu na kama binadamu alikuwa anakosea”
Miaka kadhaa ya mapambano, matumaini na kusimama upande wa wananchi. CHADEMA si chama tu—ni sauti ya waliodhulumiwa. Heri ya siku ya kuzaliwa CHADEMA! ✊🏾🔥
Happy Birthday to Tanzania’s Nelson Mandela. @TunduALissu
He has been in jail for almost a year now on sham treason charges. He has refused to sell his soul for his own freedom or money.
Tanzania take heart, we shall win against the evil CCM regime that has survived for so long by terrorizing its own people.
Kwa wanaopenda kusali Zaburi:
Anza na Zaburi 51 ya toba ya kweli na utakaso wa moyo, endelea na Zaburi 23 ya kumkabidhi Mungu maisha yako na kuamini ulinzi wake, kisha Zaburi 91 ya kujisitiri chini ya kivuli cha Mwenyezi Mungu dhidi ya hatari zote, malizia na Zaburi 133 ya umoja, amani na baraka katika familia na jamii.
Mungu akupe moyo wa toba, akulinde mchana na usiku, akujaze amani na akubariki katika yote uyafanyayo. 🙏🏽
@ze_mandevu Unazungumzia suala la Elimu au uchumi? Mimi naamini tanzania hi hakuna sehemu ambayo wanananch waliamua kuacha Elimu, Ni serikali ilishindwa kupeleka miundombinu ya Elimu mikoa yote yenye maendeleo ni Ile ambayo serikali ilipeleka Elimu mapema tofauti na Mikoa mingine
@kasesco_tz Kwa swali hili inabidi uwe mkweli na strategic. Sina mpango wa kuondoka hapa. Niliomba nafasi hii kwa sababu inanivutia, inanipa fursa ya kujifunza na kukua. Ikiwa baadaye kutatokea fursa bora zaidi, ningeifikiria tu kama itaendana zaidi na malengo yangu ya muda mrefu.