@eastafricatv Nimebahatika kucheck Movie moja inaitwa โPARIS HAS FALLENโ haina utofauti sana na yanayoendelea katika nchi moja huko duniani. Itafute uitazame pia utaelewa how the system inaendeshwa.
@_Bepari_@Kiokote888@wakilimsomi1@Mzeewajambia Umejibu vyema. Je umefikilia kuhusu simba akituma taarifa ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo ambao mwenyeji hajaomba uwanja huo kuandaliwa kwa mechi hiyo uyo kamishina wa uwanja atatoa majibu yapi?
@rollymsouth@crownfmtz@eannaso Mi nafikiri njia mbadala wa hedhi salama ni kuishauri serikali, taulo za kike zipatikane bure mashuleni na zahanati za vijijini kama ilivyo condomu. Maana hii ya kuchangishana kisha kupeleka sehem kama msaada sioni ikitatua chochote, kwani hao huingia period kila mwezi.
@eastafricatv Hahaha mi nilijua hawa jamaa walijua kucheza na media uchwala ili waje kuilaumu Caf na kuwasafisha waliofanya mechi isichezwe mkapa now mashabiki wanatemwa kama pipi
@PKishamba Hakuna juhudi zozote ile ilikuwa danganya toto kuwaadaa mashabiki waliokuwa wameshanunua ticketi, wote tulijua hiz mbanga ni siasa zinafanyika kuonesha club imeweka nguv ila wapi. TUKUTANE ZANZIBAR
Fanya kila kitu, lakini usithubutu kumsalia adui yako ZABURI 109, ni sala ya laana nzito ๐ฅบ. Inaweza kumwangamiza kabisa. Samehe, uokoe nafsi yako ๐
Mimi nilishindwa kuimaliza nikaishia kusema hata mimi sio mtakatifu adui zangu nimewasamehe ๐ฅบ๐ฅบ
@OleMtetezi Tufanye kama ndo mungu kamchukua, chama kingekufa au kingeendelea kuwepo? Acheni hizi propaganda nadhani niwakati wa CDM kujipanga upya na kufuma mifumo yake vyema, inaonekana chama kilikuwa kimeoza ila haya hayakuonekana kutokana na ngozi walizozivaa nje wakati uo.
@JumaAyoo Acheni kuwasumbua TMA kwa uzembe wa kutindua uwanja mkaleta wakandarasi bora wakaweka drainage system nzuri na njia nzuri za umwagiliaji. Uo uwanja unaambiwa umefanyiwa marekebisho ila ukiutazama unapata hasira