》Mawazo Huru ndani ya Kijana Mtanzania.
》Podcast Host: Welcome to life with Jimmy.
》Doctor of Medicine (M.D)
》Mantra: Life is for the living, Simply live it!
Opening up season 6 with a premise talk about how to experience life and creating ground for Conversation with people on how they get to experience life in their own skin and perspective.
Ps: Link in the bio. https://t.co/iCaEcqs6CV
Hope is a passion for possibilities!
Let's not lose hope, for human kind have proved over and over how resilient we can be in the course of it's existence.
#COVID19 will one day be an epidemiological citation for a better world in both living and caring for it, accordingly.
😷
@Tigo_TZ what is happening to your network in Arusha. Salio na vifurushi vya tunanunua kwa tigo pesa na inatuma msg ya kuwa imeingia ila haionekani popote ila salio mmekata tayari?
Aiseeh this is quite unproffesional, mnazingua balaaa!!
"...amini nikwambiye
Usiumiye kisa unaona kama haupigi hatua kama za wenzako kwenye picha za mitandao...
Kila mtu hupenda kuonyesha kinachong'aa zaidi ya kile ambacho kinaondoa hata ile furaha ya kuwa na afya njema.
Tabasamu, na endelea kutizamia nia yako iwe halisia ya kudumu!
010120
"...Ndio, mwaka mpya.
.....Ndio, mzunguko mpya.
.......Ndio, mapambano ni yaleyale.
Ila, Mtazamo wa kifikra ukiwa mpya basi na muonekano wako wa maisha utakuwa mpya.
Hatua hadi hatua katika uchumi mpya na bora zaidi.
Kijana usikate tamaa.
#Tunaweza20
" Udokozi au Uwizi, je kunautofauti?"
Ukiwa ofisini, kuwa makini usije ukajisahau na kuanza kuondoka na vifaa vya kazini hata kama ni kalamu au vidaftari kwenda navyo nyumbani kwa kazi zako binafsi.
Kumbuka ulipewa na shirika lako kama mahitaji husika ya vitendea kazi ofisini.
"Wamwisho kutoka azime taa!"
Kuna usemi kuwa anayewahi na kuchelewa kutoka kazini ndiye mchapakazi hodari, ila nikuhakikishiye kuwa yule anayejielewa na kufanya kazi yake IPASAVYO kwa MUDA uliyokubalika kwenye mkataba ndiye mchapakazi hodari na mwenye nafasi yakupandishwa cheo.