Ukitaka kuiona dunia baada ya kifo chako, basi iangalie dunia baada ya kifo cha mwenzako. Ukichunguza jinsi wapenzi wanavyowasahau wapendwa wao waliokufa hapo utakuwa na yakini kwamba wanaokupenda kwa dhati watakusahau baada ya kufa kwako, Hivyo basi fanya maisha yako yote kwa ajili ya Allah kwani Yeye ndiye pekee ambaye hasahau.

Lens tunayotumia Kuona Al Ahly ameshuka Kiwango ni Ile Aggregate ya 3-3
Lakini Al Ahly anaweza Kumpiga Mamelodi Sundown na atakuwa Bingwa wa kwanza wa AFL
Na kwasababu uchambuzi wetu unaendeshwa na Matokeo tutarudi tena kumpa Simba Sports heshima anayoistahili
. @SimbaSCTanzania, binafsi nawapongeza sana. Mnastahili kujivunia. Siyo kwa bahati mbaya. Mlistahili. Mmeyaleta mashindano ya #AFL Tanzania kwa mara ya kwanza. Al Ahly amewaondoa katika mashindano โkikanuniโ kama ambavyo @YoungAfricansSC aliukosa ubingwa kwa USM Alger โkikanuniโ