Unajua nilikuwa ni sehemu ya utani but seems like wapo serious kuhusu โMessi kubebwa na FIFAโ
Mtu anielezee kwa kifupi au akiweza hata kwa kirefu kwanini FIFA wampendelee Messi? Yeye ni nani? Anawapa nini mpaka marais 2 kwa nyakati tofauti wote wampendelee? FIFA wananufaika na nini wakimpendelea?
FIFA ni taasisi kubwa mno kila rais wa dunia hii anajikosha kwao (even Trump wa Taifa lenye nguvu kama USA) na wengine wanahonga mabilioni ili wapate nafasi ya kuhost World Cup. Lakini taasisi hiyo hiyo ijiskie tu kumpendelea mtu mmoja ambaye hata hawajui ametokea wapi?
Kama unaamini hili jambo ni kweli ndugu yangu una changamoto ya afya akili wahi kwa daktari wa magonjwa ya akili.
As an African, I wanted them to go through, but you canโt concede three late goals and cry about corruption. The referee didn't score those goals for Argentina. Stop the shameless excuses. Your coach subbed more players in than the team that was loosing. You guys panicked and fumbled at the final minutes of the game. Terrible excuses fr ๐ฏ
Watu wanaona kama tunamuonea huyo dogo wa Ureno, Sasa twende taratibu tujadili kauli zake.. ๐
Baada ya Kushinda Ballon d'or yake ya 5 mwaka 2017 na kulingana na Messi, akatoa statement kwamba
"I don't see anyone better than me. No player has done things that I cannot do. There is no more complete player than me"
Baada ya Messi Kushinda Ballon D'or ya 6 na kumzidi huyo janja wa Uren, akaja kusema kwamba ๐
โI have more Golden Boots than any other player. I think that says a lot.โ
Miaka 2 mbele Messi akaja Kushinda Golden Boot na kumpita huyo dogo ๐, alafu akaja kuhamia kwenye vikombe vya Timu ya Taifa wakati huo Messi akiwa hana
Alisema kwamba "always said that I wanted to win something with Portugal. I have won trophies with my clubs, but winning something with my country is special.โ
Miaka michache mbele Messi akaja kuwin Copa America & World cup, Janja wa Ureno Jana akasema yeye Kushinda Euro kwake inatosha ๐คฃ๐คฃ.
Janja janja nyingi huyu jamaa