#Uchaguzi2020 Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia @ChademaTz@LazaroNyalandu akiomba kura za kupitishwa kuwa mpeperusha Bendera wa nafasi hiyo hii leo Agosti 3, 2020, katika Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA.
@mosescassian @Greathinker12 @ccm_tanzania Ni kweli hata Mimi nilishangaa Sana kuona @PLijualikali alivyokuwa anamgeuka mwenyekiti wake wa CDM hadharani, nkawa nasema huyu jamaa kukosana na kiongozi wako mbn n Kawaida tuu ,na yanawezamalizka sasa yy akageuka snitch duuu akidhani kawin kumbe Ndio ameloose๐๐๐
Nakushaur endelea kufuata masharti ya WHO nawa mikono na maji tiririka,vaa barakoa,epukana na misongamano epuka kusambaza wrong information na USITUFOKEEEEEEEE! TAFUTA HELA BROO๐๐
#LisheBora ๐น๐ฟ
#HABARI : Makamu wa Rais, Mhe. Mama Samia Suluhu amezindua Muongozo wa Mafunzo ya Lishe kwa Wakulima na Muongozo wa Kitaifa wa Uongezaji Virutubishi Kibaiolojia katika Mazao ya Chakula, inayolenga kuhakikisha upatikanaji wa vyakula vyenye virutubisho.
Picha TBC