@sagise1@somaplex@400crooked @ortamisemitz Inategemea na ufaulu wa masomo hayo ya kwenda kusomea afya, kama ufaulu wake n mdogo (cutting points) hawez kupelekwa afya, mfano kama wanataka mwenye BBB, yy akiwa na BBC kwenye masomo ya science hatoenda afya. Huo n mfano tu.
@PhentyKiria@Da45king1@ModestaZ7 Sasa ili kuwakomoa, kanunue madiko diko kama hayo, pika ukijirecord video, uje upost. Ila sasa kama huna hela ya kununua hayo mazaga na hujui kupika, nyamaza tu yaishe vumilia kimya kimya.
@edmond_ngaby @mshambuliaji Kabla ya kupinga au ku support chochote fanya research kwanza ujiridhishe, usitumie mazoea kupinga au ku support kitu chochote.
@mshambuliaji@SimbaSCTanzania Mwamedi kwenye clip yake ya kujiuzulu alitamka kua amemteua Try Again kuwa mwenyekiti, acheni mwamedi akae pembeni tabia zake za kuzila zila kama binti, mara kuwafuata wachezaji instalive n ujinga wa kipumbavu sana ambae Boss mwenye akil timamu hawez kufanya.