@sagise1 @ortamisemitz Ni wakati sasa wa TAMISEMI kuja na selfrom zilizojitisheleza kimaelezo. Wasije na fomu zilizo na nafasi za kujaza tu huku hazina maelezo ya kujitosheleza.
Fomu inatakiwa kumwelekeza mwanafunzi kuwa ukipata ufaulu huu utaenda chuo, advance au utabaki nyumbani. Hii itawarahisishia
@400crooked@sagise1 @ortamisemitz Lakini mkuu, hata ualimu si wanasomea chuo au?😀
Kikubwa ni kwamba mtu kachagua kusomea fani nyingine lakini anapangiwa kusomea fani nyingine ambayo hakuchagua.
Vilevile naona TAMISEMI imeanza kuwabagua sana wanaopata Div 3, wengi wanapangiwa vyuo. Hii si haki.
@Jojore632021 @vitabudhahabu@ChelseaDiva10 Hizo salama ndo zinapigwa internal sasa...vipi uko na mukshe na babe mama ako siku hatari na ana mtoto wa miezi 7, je utapiga internal?
Na kuna tofauti gani anayepiga external na anayevaa kinga? Wote si wanapoteza..!
@Jojore632021 @vitabudhahabu@ChelseaDiva10 Yule aliagizwa ili ampe uzao Babuu, ila yeye akagoma akaona apige external ndo maana akamaindiwa. Sasa ukisema kila siku upige internal si utakuwa unazaa kila mwaka😀😀😀.