@NMBTanzania leo mlichonifanyia nashindwa kuwaelewa yaan nimefanya miamala miwili kwenda kwa ndugu yangu kwa ajili ya kununua dawa kutokana na Afya yake lakini cha kushangaza kwenye Account yangu Ile imekatwa lakini haijafika kwa mlengwa hadi sasa hivi๐ญ๐ญ