[UZI] ~~> Mambo machache kati ya mengi angalau kuzingatia kabla hujanunua hisa ktk kampuni yoyote.
1.Uimara wa kampuni husika katika kutengeneza faida kila mwaka,pata angalau uwiano wa miaka 5 ya nyuma kisha angalia hio faida ina mwelekeo wa kuongezeka au kupungua kila mwaka.
- Note No 4 - Ndio muhimu zaidi, Dividend TZS 610.15 per share.
*Dividend Yield of around 4.65% (at current share price of TZS 13,130/= per share) #MishaharaYaWanahisa. @NMBTanzania
Mafundisho: Sioni wapi Yesu alisema wapigwe risasi:
1. Love God
2. Love your neighbour as yourself
3. Forgive
4. Seek God's kingdom
5. Serve humbly
6. Repent and believe the Gospel
7. Be merciful.
8. Deny yourself
9. Pray consistently
10. Share the faith
Niliona wamama wanaomboleza kwa ajili ya uchungu wa watoto wao, ndugu hawaoni wapendwa wao. Kilikuwa kilio na majonzi, itafanyika hata mchana. Bila woga wala kificho, hofu itatanda, watu wataomboleza kwa ajili ya wapendwa wao kwa siku kadhaa ndipo nuru itatokea ghafla. Mwenye
Kwa wasioelewa dressing code ya Kanisa Katoliki: Rangi ya SHEREHE (Festive Colour) ni NYEUPE. ZAMBARAU na NYEUSI ni rangi za KUOMBOLEZA/TOBA.
Hivyo Padre kuvaa Kanzu nyeusi na Stola ya ZAMBARAU siku ya kuapishwa kwake ni kuonyesha hakuwakilisha Kanisa kwenye sherehe bali MSIBA!