Unacho-post, unacho-like, unacho-retweet, unaowa-follow ni sehemu ya utambulisho wako na alama ya kudumu (digital legacy) itakayobaki mtandaoni hata baada ya maisha yako.Tuendako,mwajiri,benki, ubalozi wa nje na taasisi nyingine watatumia maisha yako mtandaoni kufanya maamuzi yao