π¨ ππππ: ππ ππππ πππ-ππππππ πππππ πͺπ¬
Al Ahly are considering changing their pre-season camp location ahead of the new campaign.
π³π± Netherlands was the initial plan
β Visa issues could block the trip
Alternative options now on the table:
πΏπ¦ South Africa
πΉπΏ Zanzibar
A final decision is expected soon as the club evaluates logistics and travel arrangements.
#AlAhly
#AfricanFootball
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
@3xCubEd I find it unselfish, cz kama unaona game imekukataa inabidi utoke waingie wengine na sometimes Caoch unakuta hana mpango wa kukutoa. Itβs a team game π
Azam wameanza nawachezaji 8 wazawa na katika hao nane, sita wametoka Azam academy kasoro Sopu na Fei toto ndo hawajatokea academy yao ππ½ππ½π₯π₯π₯ @azamfc
Azam wameanza nawachezaji 8 wazawa na katika hao nane, sita wametoka Azam academy kasoro Sopu na Fei toto ndo hawajatokea academy yao π₯π₯π₯ππ½ππ½ππ½
@3xCubEd Ata mechi ya simba na singida KMC msimu uliopita wakati watu wanamlalamikia refa kwamba hakutoa penalty mbili za sowah vile vile sikuile kelvin nashon alikiwasha sana 1st half ila alistahili red card pia
@3xCubEd Me nilianza kumuona seregent boys, ila alikua Geita Gold na kina edmund john then wakaenda wote singida black stars na msimu huu wameondoka wote naona. Mchezaji kabisa