Philosopher//Student -Theology//Brother //Life is about hard work, perseverance, diligence and embracing God//Fan of @SimbaSCTanzania, @ManUtd and @RealMadrid
Dear heavenly Father, we have come from our homes to find something..... never let us return home empty handed or in coffins.
St. Jude Thaddeus Pray for us always, Amen ๐๐
Mpaka sasa sielewi kwanini " baadhi " ya mashabiki wa Arsenal wanataka kuchagua mpinzani kati ya PSG au Bayern .
They only need to turn up : Wote Bayern na PSG wana weakness ambazo Arsenal wana tools za exploit .
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
Alizaliwa Congo akampinga Rais Mobutu, ikabidi akimbilie Ubelgiji 1975. Akafika huko akawa dereva taxi na akaanza kusoma Mechanical Engineering kisha akao mzungu. Akawa Meya wa kwanza wenye asili ya Congo huko Ubelgiji na sasa ni Mbunge. Huyu ni Pierre Kompany baba yake Vincent.
Lebanon wana mfumo wa siasa unaoitwa โconfessionalismโ ambao nafasi za uongozi zinagawanya kidini. Kwenye huo mfumo wao Rais huwa ni Mkristu, Waziri mkuu huwa ni Muislam wa Sunni halafu Spika wa bunge huwa ni Shia. Wabunge huwa wanagawanywa nusu Wakristu na nusu Waislamu.
Serikali ya Vietnam imetangaza kuacha kutoza kodi kwenye mafuta hadi mwishoni mwa mwezi Juni. Hatua hii imechukuliwa ili kupunguza mfumuko wa bei unao athiri kundi kubwa la watu.
๐ณ๐ด I'm sorry but how good must this Viking FK team be if they're smashing FK Bodรธ/Glimt 5-0 in the Eliteserien.
They're the reigning champions in Norway, too.
Kipindi cha NYUMA Chadema wakiitisha Press ofisi fulani, Polisi wanvamia na kuzuia, ila saivi CHADEMA wanafanya Press conference online kutoka mahali hapajulikani na inafikia umaa wote.
Kuna namna Utawala fulani utazidiwa kete ata wakitumia mabavu kias gani, wajitadhimini sana.
South Africa wonโt allow Starlink to be licensed, even though I was BORN THERE, simply because I am not Black!
We were offered many times the opportunity to bribe our way to a license by pretending that a Black guy runs Starlink SA, but I have refused to do so on principle.
Racism should not be rewarded no matter to which race it is applied.
Shame on the racist politicians in South Africa. They should be shown no respect whatsoever anywhere in the world and shunned for being unashamedly RACISTS!