@anuskills3 Picha inaeleza kila kitu ,kwanza nyuma kabisa kuna mabasi ,,hihi inaashiria watu wamezolewa kwakuzolewa kila kona ,pile mbele kuna watoto wengi sana
Maana kwamba hawana faida yoyote kwenye kupiga kura
Hivo bado huhu ni ujinga kama ujinga mwingine unaoendelea .