@millardayo Angalau tuwe tunapewa na sababu ya kwanini deni limeongezeka, matumizi ya kilichoongezeka yakoje na vile vile hizo hasara ni kwanini zinatokea, tuambiwe pia
@prossoff Huyo dem seems bado mtoto, hana akili za maisha, hayuko tayari kuwa mama, hakupi maua yako na wala hakusikilizi, na wewe umeshachukua jukumu la kua mzazi wake😁 sasa ngoja arudi shule akamtafute mpenzi wake😁.
Zakuambiwa changanya na zako.
@prossoff Yaan unampigia miscall 14+ na sms kibao juu af anamute siku nzima, then voice note moja tu kutoka kwa shoga yake ndo anakujibu sawa😁 duh apo amna demu
P W Botha rais wa makaburu wa Afrika Kusini alisema maneno mabaya sana kuhusu sisi watu weusi…
Alisema “sisi watu weusi hatuwezi kujiongoza. tukipewa Bunduki tutazitumia kuuana wenyewe kwa wenyewe, tukipewa mamlaka tutaiba mali zote za umma na kujilimbikizia, tukipewa Uhuru na demokrasia tutavitumia kueneza ukabila, chuki, udini, ubaguzi, na mauaji”
Ukiangalia Nchi zote za Afrika, ukiangalia bara letu zima miaka 65 baada ya Uhuru wa Afrika..
Nchi gani mtu unaweza kusema ni mfano kwa bara letu, Nigeria yenye, mafuta mengi kuliko hata Qatar na ina watu wengi wasomi wenye akili, ni Nchi gani? Israel ni Taifa lenye miaka 75 tu….nani mfano kwa Afrika!!! Kila kona ni majanga Congo hawana hata chakula Taifa kubwa lenye kilometa za mraba milioni 2.3 na rasilimali za kila aina.
Wanaume wenye bundiki za kivita wanamshambulia mwanamke hivi? Karne hii?
Nani anaweza kusimama na kupinga maneno ya Pik Botha?
Alafu kuna watu wanaitwa wakuu wa Nchi za Afrika!!!! Shame on us