Occupational Health and Safety practitioner -For all OHSE issues ( Workplace registration, OHSE Consultation, Workplace Safety Policy etc.) please hit my DM🙏
Vijana wanapaswa kushirikishwa katika kupanga mifumo ya elimu na mafunzo inayowawezesha kupata ujuzi, kukuza ubunifu na kuongeza ushindani wao katika soko la ajira. Elimu iendane na mahitaji halisi ya soko na mabadiliko ya dunia ya kazi.
#KijanaImara | #AfriYANTanzania
Maendeleo jumuishi yanahitaji ushiriki wa vijana wote bila ubaguzi, vijana wenye ulemavu, wa vijijini, wasichana na makundi yaliyotengwa. Muhimu kuhakikisha wanapata nafasi ya kushiriki katika mijadala, mipango & maamuzi ya maendeleo yao na jamii
#KijanaImara | #AfriYANTanzania
Unahitaji huduma za @officialtcaa ? ✈️
Uliza Sky moja kwa moja kupitia tovuti ya https://t.co/V5nTfdUsHY na upate majibu kuhusu huduma za usafiri wa anga kwa urahisi, saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki.
#TCAATanzania#DondooZaSky#UsafiriWaAnga
Uwezeshaji wa vijana kiuchumi hauishii katika kutafuta ajira pekee. Ni muhimu kutambua mchango wao kama wabunifu, wajasiriamali katika kukuza uchumi wa taifa. Sauti zao muhimu zisikike katika uandaaji wa sera na bajeti zinazofungua milango ya fursa.
#KijanaImara | #AfriYANTz
Hakuna maamuzi kuhusu vijana bila ushiriki wa vijana. Vijana wanapaswa kuwa sehemu ya maamuzi yanayohusu afya zao, hususan Afya ya Uzazi. Sera, mipango na programu lazima zijumuishe sauti na mahitaji ya vijana, kuanzia kwenye kamati za afya.
#AfriYANTanzania | #KijanaImara
@officialtcaa na ICAO zinapanga kuimarisha utoaji mafunzo kupitia Kituo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC), ikiwemo kuwaandaa wakufunzi wa ndani. Hatua hii itaongeza uwezo wa kutoa mafunzo maalumu nchini & kukuza utaalamu katika usafiri wa anga.
#UsafiriWaAnga#TCAATanzania
Tanzania na ICAO zinaimarisha ushirikiano kuendeleza mafunzo na kujenga uwezo wa wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga. Mazungumzo jijini Montréal, Canada, yamelenga kuoanisha mafunzo na mahitaji ya sekta na kuimarisha uwezo wa kitaalamu nchini.
#UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
@Salym@spana_Konki Kuna mtu kasema umpigie Juma Ayo aje kupandisha hizo response zako, akaja wa younger creator na upara hadi shingoni afu akamaliza wa Salim Chimakeke 😂
Ankali bora ungeendelea kufocus na kutafutia watu wa kibosho soko la mbuzi katoliki, humu utachapika hadi uache ndala 😂
“Communities surrounding extractive projects must be part of the development process and should directly benefit from the resources extracted from their areas.” ~ Nicholas Lekule, Executive @HakiRasilimali .
#JukwaaLaUziduaji2026 | #HakiRasilimali.
A group photo bringing together stakeholders from government, private sector, civil society & partners during the official launch of Jukwaa la Uziduaji 2026, reaffirming their shared commitment to a transparent, inclusive & sustainable extractive sector.
#JukwaaLaUziduaji2026
Relive the conversations, knowledge sharing and impact as we look back at last year’s highlights while counting down to Jukwaa la Uziduaji 2026.
⏳ 9 Days to GO .....
📅 12 – 13 November | 📍 Dodoma
Stay tuned @HakiRasilimali#JukwaaLaUziduaji2026#HakiRasilimali
Mwenyezi Mungu alimwambia Nabii Daud (a.s.):
“Unikumbuke katika nyakati zako za furaha na neema, nami nitakukumbuka katika nyakati zako za huzuni na shida.”
Mjadala umebainisha changamoto, pia katika kutafuta suluhisho. Wadau wa habari na mitandao ya kijamii wamechangia mawazo kuhusu usajili, kulinda utambulisho wa kidijitali & mfumo rafiki kwa wachapishaji wasio wa kibiashara, kwa lengo la kuandaa mapendekezo madhubuti ya kisera.