@DanfordTun96400 Afande najua nina makosa mengi sana kama mabomu ya uchaguzi hata haina haja kunihesabia mtafutaji mwenzio. Naomba duwa zako msimbazi hapo chini
@Jambotv_ Hivi jeshi la magereza lina kitengo cha nyonga nyonga kinachotambulika kisheria au ni askari yeyote tu wa magereza anaweza kunyonga kama ilivyo kwa polisi wote wanaweza kufanya ukamataji?
@davitheempire Ndio maana nasemaga kubwa kwenye huu muungano wazanzibar wanafaidika zaidi kwa sababu wao wanazaliana kwa kasi kubwa wakitegea kuoata ardhi Tanganyika. Yaan wakaishi, wakalime, wafuge na kufanya biashara huku sio kwao ni kudogo sana
Naona leo Nduli Idd Amin Mama amezuiwa kuongea huko Dodoma kwenye siku ya mashujaa, kamaliza hafla KIMYAKIMYA.
Wanaogopa atatoa boko, ukute na leo alikuwa K vant asubuhi asubuhi maana wanasema siku hizi akiwa anaenda kwenye function huwa anapiga mitungi kwanza, ndo maana kila akiwa kwenye podium akifungua mdomo tu, lazima atoe boko.π