FAHAMU FEDHA ZENYE NGUVU NA THAMANI ZAIDI DUNIANI.
UZI MFUPI.
Cha kushangaza.! Dola ya kimarekani haipo hata top 5. π.!
Iko hivi umoja wa mataifa unazitambua aina 180 za fedha duniani. Kati ya hizo Dola, Euro, Pound na Yuan ni pesa maarufu lakini zipo zenye thamani zaidi. ππΏ
MAMBO 10 MUHIMU UNAYOPASWA KUFAHAMU KUHUSU NOTORIOUS B.I.G:
π§΅ππΎ
Wengi humuita mfalme wa Hip Hop/Rap kutokana na uwezo wake mkubwa aliounesha wa kurap enzi ya uhai wake.
.
Christopher George Letore Wallace a.k.a Notorious B.I.G.
.
.
π§΅π§΅ππΎ
Bro kafungua biashara ya hardware, miezi minne bado mambo hayaendi. Wateja anapata wa misumari tu, tena wale wa nusu ya kuchanganya inch 2 na inch 3ππ
Kasema tusitaniane, kwanza bro ni mfipa.. chezo linaanza bro amefunga safari kwenda nyumbani
HISTORIA YA ZEUS (Sehemu: #2)
Zeus Alikuwa Mtoto Wa Mwisho Wa TITANS Wawili CRONUS Na RHEA. Alipozaliwa, Baba Yake CRONUS Alikusudia Kummeza, Ili Asiwepo Kabisa Baadae! Leo Nataka Nikupe Visa, Stori Na Mambo Yanayohusu Ukoo Na Watu Wa Kizazi Cha ZEUS
Kama Vipi Twenzetu Ujue
KUTOKA MAKTABA π
Kuna hichi kitabu kinaitwa "Codex Gigas" maarufu kama "The Devil's Bible" yaani "Biblia ya kishetani" ambayo mpaka sasa mwandishi hajulikani ni nani, ila kiliandikwa na "Kingdom of Bohemia" ama pia unaweza kuuita "Kingdom Czech" ambacho kiliandikwa mnamo π
Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu Thadei Ole Mushi akasema Maganga atakataa huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M.
ππππππππ πππ πππππ
Mnamo Karne ya 7 Kipindi hiko waislamu wako karibia 200+ lilitokea tukio Kubwa sana la kushangaza Dunia na Ulimwengu wote.
Kipindi hiko kulikuwa na Utawala Mkubwa sana Wa Syria/Shamu kabla ya Utawala wa Roma kuja kupata nguvu.
Mfalme alitoka..
πX-mas Wish Event! #RoobeeChristmasπ
To join:
β Follow
π Retweet
π Leave a message to Santa and your BEP20 $ROOBEE address in the replies.
π πΌπ On Dec. 27, we'll select 10 winners among those who've completed all the steps. Each winner will get $10 in $ROOBEE!
#ROOBEE