@edwinsifuna The beauty of African Leaders ndio hii. Wao hushangaa na sisi. They dont know what they should know. As Mwananchi, you dont know who to ask or believe what comes out of them. Yet they represent us. We give them resources so they're able to give us answers when needed. But where!
@SuluhuSamia Mhe. Rais, mifumo yote Duniani haiji KUFUTA ile iliyokuwepo. Inakuja KUIBORESHA tu. Kwahiyo inapotokea "downtime" inayosababisha na mtandao, mfumo unatakiwa uwezeshe maisha kuendelea. Kukitokea mkwamo kabisa ujue mfumo huo HAUFAI. Ndio kanuni za mifumo.
Mhe. Rais @SuluhuSamia, shikamoo Mama. Hongera kwa majukumu. Mimi nina ombi moja tu, suala la "mtandao kuwa chini" naomba liangaliwe kwa jicho la pekee. Kuna huduma muhimu na shughuli muhimu za kimaendeleo zinakwamishwa na hii kauli nyepesi tu "mtandao uko chini".
Asante.
@mamgunda1@MariaSTsehai Hahaha, bongo bana. Si mnakumbuka yule aliyekuwa anagombea uspika lakini hajui kanuni za bunge. Alisema ile ishu ilikuja ghafla na yeye akikuwa mikoani huko.
Naomba mtu anieleweshe. Hivi kwanini EWURA inaruhusu wafanyabiashara kubadilisha (kwa kuongeza) bei ya mafuta kwa mzigo ambao ulishaingia nchini na upo sokoni na uliingia kwa bei pungufu?
Hawaoni kama wanamuumiza mwananchi bure tu?
@KenyaPower_Care We have been in the dark since Saturday. The incidence was reported and a ref no. 8011760 was given. We called again today morning. But we are still in darkness. Imagine our food on the fridge
@iampolepole @Emmanuelalex25 @Njamasi_ Huoni kama wanazidi kuchelewa Ndugu Kiongozi ukizingatia Muda ni fedha na ndio hiyo inayotafutwa?
Muda sahihi wa kwanza ili kuwa jana, nuda sahihi wa pili ni leo, sio kesho. Shika mkono vijana wawili tembea nao. Wao pia watashika wawili. Shawishi na viongozi wenzako.
@HKigwangalla Huko Canada, elimu ya chuo hutolewa kwa muda tofauti tofauti na kwa indadi ya watu inayohitajika tu. Sio kila mwaka utakuta kwa mfano kuna Bachelor of Education.
Ni suala la planing tu. Lazima tujue sokoni kunahitajika nini halafu tutrain watu kulingana na mahitaji ya soko.
Natanguliza shukhrani kwako Mhe. Rais @MagufuliJP, kwakuwa nina imani barabara ya kwenda Chuo Cha Serikali za Mitaa cha Hombolo itajengwa kwa kiwango cha Lami.
πππ
@maruhubi24 @MariaSTsehai@ccm_tanzania Mi nikajua nchi yetu haina mahusiano mazuri na nchi majirani labda. Najua unaweza kusema sio suala la nchi hili. Tafakari tu kidogo.
@MariaSTsehai@ccm_tanzania Nilijua ni swali jepesi tu kama ulivyotoa muongozo kwamba majibu yanatakiwa kuwa mepesi sio mapovu. Ukitaka kujitofautisha na wengine, wakitoa mapovu wewe weka hoja tu. Usihame.
#Jumakapalatu wa @ITVTANZANIA, leo ni mara ya pili mwanangu ananiuliza mbona unatangaza habari moja tu ya biashara?
Hili swali mi najiuliza miaka mingi sana. Sijapata jibu. Nchi ya watu karibia 60m inakuwa na habari moja tu ya biashara ndani ya masaa 24 kweli?