Lipeni hospitali binafsi pesa zao.
Hamjapeleka pesa zaidi ya nusu mwaka mnategemea zitajiendeshaje???
Nyie ndio mnafanya hata waziri aonekane "nothing " maana mnajikopesha pesa mingi then mnashindwa kuzirejesha CAG Report.
Maombi wakati mwingine huwa yanachukua muda kuleta majibu mwanawane. Kama wewe toka umeanza kuomba upate uteuzi hadi leo ni muda gani na bado unaendelea kusubiri. Unaomba halafu unasubiri. Maisha ni imani ๐
@mdudechadematz Sorry, Bungeni haturuhusu tena kwenda Wapumbavu.
Wapumbavu waliokwishaenda kina Musukuma, Kingu, Shigongo, Tarimba wanatosha basi tena.