@McinikaWaLamar Kijana wala usiwe na shaka hujachelewa , Mawazo hayata kusaidia cha msingi jua nini unahitaji kwenye hii dunia.
Cha mwisho kula urefu wa kamba yako , Usihindane na watu.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Prosper Mgaya amesema gharama ya mafunzo ya urubani nchini yatagharimu kati ya shilingi milioni 100 hadi milioni 120.