Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
My favorite pieces today.
1. Hata hafai kutitwa Mama Abdul. Hiyo sifa ineondolewa Kwa ukatili
Kabudi anataka mkono wa amani kwa watu wasiokuwa na paracetamol Kwa miaka 4. Akaambulia patupu