@Labella_Mafia95 Huyu jamaa nadhan alitumia nafasi hii na kuingia cost hizo ili apate kujitangaza kiwepesi na kutaka watu tumjue haswa afrika mashariki, na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa sana katika hilo.
@Advocate_Jebra@FKihamu Mkuu hapo unaongea kwa hisia, uliza ambao wanafanya nae kazi.. jamaa yuko smart bana penye ukweli tuseme ile ni machine ya kazi.
@Labella_Mafia95 Usemayo ni ngumu kueleweka kma unamtizamo hasi juu ya PM. ukita kujufunza yaliyo mazuri kwa PM mtizame katika jicho chanya. Binadamu hawezi kosa mapungufu ila jamaa anatabia ya kufanya chochote kwa hali ya juu sana na matoke yake ni kumpenda sana au kumchukia sana. #anakabiajuu
@RehemaNM2@ChademaTz@TunduALissu Hii ndo sababu sina imani na upinzani tena,sishangai sababu 2010 nikiwa kijana mdogo kipindi siasa za upinzani zina nguvu kwa vijana kwa kiasi kikumbwa nilishuhudia uvunjwaji wa democracy na rushwa kwa kiasi cha kuumiza,na hapo ndo nikasema wengi wako kimaslai na manipulation tu.
@datius_tz Baba baridi hiyo mtoto asipigwe na baridi haswa maeneo ya miguuni mvalishe mguo inayofunika na nzito. Sijui uko mkoa gan? Hii kitu nikiwa mdogo haswa primary ilinitesa sana nanilikuwa sipendi sana. Na si kila mtu hii hali inampataโฆ#byuzowefu wangu