@Sativa255 Kwa hali hii polisi akifa nisichinje mbuzi nile na washikaji? Ee Mungu wapunguze kwa kadiri uwezavyo tutajilinda wenyewe. Sikilizeni nyie polisi, mmetupa ujasiri kupitia vitisho vyenu, kumbukeni huku uraiani kuna wale waliopata division one na wasomi wengi ambao wanaelewa ukweli.
@AllyHapi How is it possible that an institution more than 60 years of being in power and ruling the country still kills more than 10,000 civilians to remain in power?
@Roma_Mkatoliki@BillyTronix1 Sometimes nafikiria nachoka, kama wapinzani tunatakiwa kuwakabili na kukabiliana kwa hoja ili tuoneshe tofauti yetu na wauaji.
@mangekimambi Ajira wametoa, ila hili halisababishi tuyasahau ya October 29. Kuna mtu wangu wa karibu kabisa amepata na jumanne anaanza rasmi utumishi wake. Kwenye ukweli tutasema lakini hii haimaanishi tunaikubali serikali.
Hivi hii obsession ya mabango huwa siielewi at all. Hivi ni nchi gani watu waliandamana maandamano ya kuiondoa serikali na watu walikuwa na mabango?
Iran, Nepal, Mauritius, hata Kenya sionagi hayo mabango mnayongโangโna Watanzania walikuwa kuwa nayo??? Wanakuwaga na mabango mawili matatu basi
Maandamano yanayojaaga mabango ni maandamano ya walimu au labda strikes za wafanyakazi ila sio maandamano ya kuondoa serikali haram, sio maandamano ya kupambana na polisi. Kama mtu atabeba bango ni yeye ila sio prerequisite ya maandamano yatakayofankkiwa.