@IAMartin_ Katibu mwenezi yupp anazunguka nchi nzma kusikiliza matatizo ya watu as if serikali iliyopo madarakani ni ya chama kingine, kumbe ni chama hicho hicho. Hii inaonyesha vile serikali ya ccm ilivyoshindwa kuendesha nchi hii. Shda yote inaletwa na sisi wananchi kutojitambua.