@khingswahswah@VungaEl74 Na hormuz imefungwaa akitaka ushahidi awaulize wafanya biashara wa Dubai wanao chukua conterner ata elewa kama US hana kitu anafnya
@khingswahswah@VungaEl74 Ya saiv nipo nashuhudia kwa macho na nilicho gundua Zaid BBC NA Ccn media zoote za western ni wazushi tu izo woote waongo tuu Iran anapigwa kweli lkn mzee anapeleka motoo hatari saana noma wana interceptor 1 lkn 10 zinafika malengoo
@VungaEl74@khingswahswah US kachapika ndo maana mpka leo kashindwa kufunguwa hormuz ila kwenye war crime kashindaa sio vita mbuzi wewe huna unacho jua ndo maana rais wa iran anaonesha watot wa shule wale ambao waliuliwa na Familia ya kiongoz wao
@VungaEl74@khingswahswah Hhahh broo labda english inakupiga chenga unaweza kutafta ambayo imetolewa tfs kwa lugha ya kiswahil mskilize then njoo tuongee