@MichaelMwebe@VodacomTanzania@airtel_tanzania Nakushauri ubaki huko huko @VodacomTanzania maana huku @airtel_tanzania bando unapewa lote ila wanakuoangia jinsi ya kulitumia, mfano unanunua Gb 2 lakini wanakuoangia Gb 1 mchana na Gb 1 usiku kuanzia saa 6 sasa sijui wanahisi watu wote ni wanafunzi๐ siwapendi..
@Uhunyeparody Duh! Ana ujasiri kweli kweli unapigiwa simu ya presdaar hupokei, ingekuwa bongo unapiga maombi kabla ya kupokea ๐๐ mh, raisi fanya kama unanipigia mimi uone