Duniani kila binadamu ana kipawa cha kipekee kinachotambulisha upekee wake, na katu hakiingiliani na binadamu mwingine. Tofauti iliyopo tu nikuwa ni vigumu kujigundua au kugunduliwa vipawa vyetu. Mazingira ya kila mtu alipo ndio yanayoathiri uwepo au ufu wa kipawa chako...1/1.